Samuel Aswile
Samuel Aswile Mwakatajila ni mtazania aliyezaliwa katika kijiji cha Lyebe wilaya ya Rungwe mkoa wa mbeya nchini Tanzania. Ni mtumishi wa Mungu mwenye elimu ya theology na pia msomi mwenye shahada ya Telecommunication & Electronics Engineering. Mtumishi Samuel amekuwa akifundisha ujumbe wa neno alilopewa na Mungu maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa Munda mtefu sasa. Pia ni mwandishi wa vitabu na makala za kiimani ( Imani ya kikristo) kwa muda mtefu. Samuel anakualika kupata ujuzi wa...See more
Samuel Aswile Mwakatajila ni mtazania aliyezaliwa katika kijiji cha Lyebe wilaya ya Rungwe mkoa wa mbeya nchini Tanzania. Ni mtumishi wa Mungu mwenye elimu ya theology na pia msomi mwenye shahada ya Telecommunication & Electronics Engineering. Mtumishi Samuel amekuwa akifundisha ujumbe wa neno alilopewa na Mungu maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa Munda mtefu sasa. Pia ni mwandishi wa vitabu na makala za kiimani ( Imani ya kikristo) kwa muda mtefu. Samuel anakualika kupata ujuzi wa kiMungu kupitia kitabu hiki. See less
Samuel Aswile's Featured Books