Skip to main content alibris logo
Siri ya Kifo - Silwimba, Shannel S
Filter Results
Item Condition
Seller Rating
Other Options
Change Currency

Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na kama vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai. Tutaifanyia uchochezi itikadi ya toharani kuwa siyo ya Kikristo. Pia tutakuonyesha kifo cha mtu hakijapangwa juu yake. Wakati ukiwa ...

loading
Siri ya Kifo 2024, Shannel Steven Silwimba

ISBN-13: 9798223677208

Swahili

Trade paperback