Kitabu hiki kinawasaidia wale wanaohangaikia kupata nafuu na wale ambao tayari wako katika mchakato huo. Kwa sababu kinawapa changamoto na kinaeleza mambo kwa njia halisi sana, ya kawaida, na ya wazi kabisa, hivyo kinawawezesha kufanya marekebisho sahihi kabisa katika maisha yao. Uzuri wa masomo ya kitabu hiki ni kwamba watu wanapenda kuyafanya, wala hawahisi wanafuata ratiba fulani ya kila siku, au wanalazimishwa kufanya jambo fulani, kwa sababu kila ukurasa unamtia moyo mtu kufikiri kwa njia halisi na itakayomnufaisha. ...
Read More
Kitabu hiki kinawasaidia wale wanaohangaikia kupata nafuu na wale ambao tayari wako katika mchakato huo. Kwa sababu kinawapa changamoto na kinaeleza mambo kwa njia halisi sana, ya kawaida, na ya wazi kabisa, hivyo kinawawezesha kufanya marekebisho sahihi kabisa katika maisha yao. Uzuri wa masomo ya kitabu hiki ni kwamba watu wanapenda kuyafanya, wala hawahisi wanafuata ratiba fulani ya kila siku, au wanalazimishwa kufanya jambo fulani, kwa sababu kila ukurasa unamtia moyo mtu kufikiri kwa njia halisi na itakayomnufaisha. Jambo hilo linamfanya mtu ahisi vizuri anaposhughulikia hali yake. Yote yaliyo katika kitabu hiki ni mambo yalitokea katika maisha yangu binafsi na mambo niliyofanya ili kupona au kupata nafuu. Kila ukurasa umetumiwa kwa mafanikio sana katika programu za watu wenye matatizo yanayofanana kusaidiana wenyewe kwa wenyewe.
Read Less
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
Fine. Text in Swahili. Trade paperback (US). Glued binding. 82 p. Language: swahili-In Stock. 100% Money Back Guarantee. Brand New, Perfect Condition, allow 4-14 business days for standard shipping. To Alaska, Hawaii, U.S. protectorate, P.O. box, and APO/FPO addresses allow 4-28 business days for Standard shipping. No expedited shipping. All orders placed with expedited shipping will be cancelled. Over 3, 000, 000 happy customers.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
New. Text in Swahili. Trade paperback (US). Glued binding. 82 p. Language: swahili-In Stock. 100% Money Back Guarantee. Brand New, Perfect Condition, allow 4-14 business days for standard shipping. To Alaska, Hawaii, U.S. protectorate, P.O. box, and APO/FPO addresses allow 4-28 business days for Standard shipping. No expedited shipping. All orders placed with expedited shipping will be cancelled. Over 3, 000, 000 happy customers.