Mji wa Kambare ni diwani iliyotungwa kwa umahiri na ustadi wa aina yake kuweza kumvutia kila anayeisoma, awe ni mwanafasihi na mwanaisimu ama mtu wa fani yoyote ile. Hii inatokana na uteuzi mzuri wa misamiati inayolandana vina na mizani kiasi ya kuukonga moyo wa msomaji. Muwala, ufundi mkubwa katika kupangilia maneno, ujenzi wa taswira na lugha ya picha, ubobezi katika kumfikirisha msomaji, upana wa dhamira na maudhui yapatikanayo katika tungo zilizomo ndani ya diwani hii zinagusia takriban nyanja zote za maisha ya ...
Read More
Mji wa Kambare ni diwani iliyotungwa kwa umahiri na ustadi wa aina yake kuweza kumvutia kila anayeisoma, awe ni mwanafasihi na mwanaisimu ama mtu wa fani yoyote ile. Hii inatokana na uteuzi mzuri wa misamiati inayolandana vina na mizani kiasi ya kuukonga moyo wa msomaji. Muwala, ufundi mkubwa katika kupangilia maneno, ujenzi wa taswira na lugha ya picha, ubobezi katika kumfikirisha msomaji, upana wa dhamira na maudhui yapatikanayo katika tungo zilizomo ndani ya diwani hii zinagusia takriban nyanja zote za maisha ya mwanadamu. Kwa kiasi kikubwa, diwani hii imetumia lahaja za kizanzibari, hasahasa kipemba. Pia kuna maneno ya Kiswahili asilia ambayo yametumika kuongeza vionjo vya lugha na utamu wa michapo ya mashairi na tungo za Kiswahili cha uswahilini. Hata hivyo, maneno magumu yamefafanuliwa maana mwishoni ili kukidhi haja ya msomaji wa diwani hii. Kwa ujumla, diwani hii itawafaa sana wapenzi wa lugha ya Kiswahili hususani wapenzi wa mashairi, walumbi wa lugha, wanataaluma, wanafunzi wa ngazi tofauti za elimu, walimu shuleni, wakufunzi vyuoni, wafanyakazi maofisini na taasisi mbalimbali za kielimu, asasi za kijamii, vikundi vya tamaduni na sanaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na vikundi vya ngoma za burudani. Hapana shaka, maendeleo ya lugha na Ushairi wa Kiswahili pamoja na ukuaji wake unaonekana waziwazi endapo utajisomea diwani hii.
Read Less
Add this copy of Mji Wa Kambare to cart. $29.40, new condition, Sold by Books2anywhere rated 5.0 out of 5 stars, ships from Fairford, GLOUCESTERSHIRE, UNITED KINGDOM, published 2023 by African Books Collective.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
PLEASE NOTE, WE DO NOT SHIP TO DENMARK. New Book. Shipped from UK in 4 to 14 days. Established seller since 2000. Please note we cannot offer an expedited shipping service from the UK.
Add this copy of Mji Wa Kambare to cart. $31.25, new condition, Sold by Paperbackshop International rated 5.0 out of 5 stars, ships from Fairford, GLOS, UNITED KINGDOM, published 2023 by African Books Collective.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
PLEASE NOTE, WE DO NOT SHIP TO DENMARK. New Book. Shipped from UK in 4 to 14 days. Established seller since 2000. Please note we cannot offer an expedited shipping service from the UK.
Add this copy of Mji wa Kambare to cart. $28.32, like new condition, Sold by GreatBookPricesUK5 rated 4.0 out of 5 stars, ships from Castle Donington, DERBYSHIRE, UNITED KINGDOM, published 2023 by Mkuki na Nyota Publishers.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
Fine. Text in Swahili. Trade paperback (US). Glued binding. 122 p. In Stock. 100% Money Back Guarantee. Brand New, Perfect Condition, allow 4-14 business days for standard shipping. To Alaska, Hawaii, U.S. protectorate, P.O. box, and APO/FPO addresses allow 4-28 business days for Standard shipping. No expedited shipping. All orders placed with expedited shipping will be cancelled. Over 3, 000, 000 happy customers.
Add this copy of Mji wa Kambare to cart. $28.61, new condition, Sold by GreatBookPricesUK5 rated 4.0 out of 5 stars, ships from Castle Donington, DERBYSHIRE, UNITED KINGDOM, published 2023 by Mkuki na Nyota Publishers.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
New. Text in Swahili. Trade paperback (US). Glued binding. 122 p. In Stock. 100% Money Back Guarantee. Brand New, Perfect Condition, allow 4-14 business days for standard shipping. To Alaska, Hawaii, U.S. protectorate, P.O. box, and APO/FPO addresses allow 4-28 business days for Standard shipping. No expedited shipping. All orders placed with expedited shipping will be cancelled. Over 3, 000, 000 happy customers.
Add this copy of Mji wa Kambare to cart. $33.61, new condition, Sold by Booksplease rated 3.0 out of 5 stars, ships from Southport, MERSEYSIDE, UNITED KINGDOM, published 2023 by Mkuki na Nyota Publishers.
Add this copy of Mji wa Kambare to cart. $33.80, new condition, Sold by Ingram Customer Returns Center rated 5.0 out of 5 stars, ships from NV, USA, published 2023 by Mkuki na Nyota Publishers.
Add this copy of Mji wa Kambare to cart. $31.54, like new condition, Sold by GreatBookPrices rated 4.0 out of 5 stars, ships from Columbia, MD, UNITED STATES, published 2023 by Mkuki na Nyota Publishers.